Coasco na wizara ya ushirika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coasco na wizara ya ushirika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Baghari, May 3, 2012.

 1. B

  Baghari New Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona tangazo haukuleta!
   
 3. K

  Kongi JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Chuo cha MUCCoBS waliita usahili tarehe 27/04/2012 ila tulikuwa na transcript tulitakaliwa kufanya usahili. COASCO hata mi sijui..
   
 4. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  haamanishi za muccobs
  kuna nafas za utumishi walitangaza chini ya wizara ya kilimo na ushirika
  maafisa ushirika grade 11/cooperative officers grade 11
  wametoa shortlist??
   
 5. K

  Kongi JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Thax kwa kuelezea NKADABWI. Sina taarifa kwa hizo nafasi. Na najua hata nikiitwa interview satahudhuria kwa sababu serikali haotaki kuajiri tuliotoka chuo majuzi. Wanaajili wenye vyeti tu.
   
Loading...