Uwe wakwanza au mwisho yote sawa tu.
Uwe wakwanza au mwisho yote sawa tu.
hivi bado kuna interview siku hizi..mimi nimepewa kazi kwa ki-MEMO...so sina uzoefu na interviews
inategemea na wewe una confidence kiasi gani...kama unajiamini, kauze sera wa kwanza...nenda ka-set standard za kuwalinganishia wenzako, kama huna confidence we bora uwasubiri wachoke kwanza then ukiingia na wewe ujione ulifanya interview ila watu wao walishawapata kitambo!!! there is always an advantage in goin first....am nat sure abt goin lastHi wana jf.
Hivi kwenye interview ni bora ukawa wa kwanza kufanyika au wa mwisho na kwanini?
I mean (faida ziko upande upi)