Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Waungwana naomba kujua kama SEDA huko Arusha walishaita kwenye Interview na hata hawa wanaojiita FINCA nao kama waliita.Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau walioomba kazi mbalimbali kupitia Tume ya ajira shortlist ndio hii. Usaili mwema
5 Reactions
16 Replies
6K Views
JOB OPPORTUNITY COMMUNICATIONS ASSOCIATE Re-advertisement; those who applied before need not to re-apply. ___________________ UNDP Tanzania Office wishes to recruit a suitable...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wanaa room...nilikuwa naombaa details za FINCA benk,je hawa watu niwazushii au je wanaa ajirii kweli au?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie website iliyobora kabisa, cctv na surveilance(dvr) kwa ulinzi imara popote penye makazi yako. Ofisini,nyumbani hata kwenye biashara zako! Kwa maelezo zaidi! Email: crissalex1@live.com...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajavini nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa pes aliye wahi kufanya interview pale wakoje au ndo uleule ubabaishaji wa hizi recruitment agency zetu msaada please
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wadau nimehangaika muda mrefu kujiunga humu jf maana kila surname nnaloandika nna ambiwa lipo mpaka nilijiandika surname shoga nikaambiwa pia yupo du
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mara nyingi nimekuwa msomaji wa mambo yanayohusu ajira na kazi,humu watu hutoa mawazo yao na wengine kuomba ushauri nini wafanye ili either wapate kuajiriwa ama kujiajiri kulingana na elimu zao...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau waliofanya written interview tar 27 april je wameshaita kwa oral interview?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbona kimya, au ndio kama kawaida tumepoteza muda wetu ku apply.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi. wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye...
1 Reactions
48 Replies
13K Views
Please ndugu zangu wa JF, kwa anayefahamu kuhusu interview ambazo PRICE WATER COOPERS walisema watazifanya kuanzia 07 hadi 13 mwezi huu, vipi watu wameshanza kufanya hizo test zao, maana ijumaa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nataka kujua mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate....natanguliza shukrani
0 Reactions
27 Replies
7K Views
nimesikia leo tarehe 27 april mtanzania news wametoa shortlist ya walioomba kazi ya hakimu mkazi daraja la pili,kwa aliepata electronic source ya hiyo kitu please naomba aiweke humu tuweze...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sybase ASE / IQ consultant (10 positions) Server Side Solutions -Nairobi LAMP and Javascript Programming Interns Toolkit...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
vp wadau kuna zile kazi zilitoka care, deadline ilikuwa april 14 vp washawaita watu interview au bado...duty station ilikuwa tabora
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wadau wa JF kwenye jukwaa letu la Kazi na tenda, wanakuwa kama wametumwa na shetani, ukiandika post yako wao kazi yao ni kuandika utumbo na kukatisha watu tamaa. kwa mfano mtu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale waliohudhuria written Interview Msimbazi Center kwa nafasi za Loan Officer, Cashier na IT kuna yeyote ambaye ameitwa kwa ajili ya oral Interview?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom