Dili ya kuchora


2

2mainiR

Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
5
Likes
0
Points
0
2

2mainiR

Member
Joined Sep 1, 2011
5 0 0
Mimi ninakipaji cha kuchora, ila sina vifaa. Na pia uwezo wa kufanya kazi zikawa nzuri na za kuvutia bado ni mdogo, kutokana na kutojishuhulisha mara kwa mara na kazi hii. Nina marafiki zangu wa America na ulaya ambao wamekuwa wakinishauri mara kwa mara nichore picha kuonyesha v2 mbalimbali vya asili ya kitanzania hasa vivutio vilivyopo n.k.Then niwe nafanya export nao watanisaidia as agents,pia nitengeneze blog kwa ajili ya advertisement. So ninahitaji M2 mwenye experience 2make hii dill na pia anisaidie kunoa kipaji changu coz naipenda. Zaidi 2wacliane kwa 0713865172.
 

Forum statistics

Threads 1,272,340
Members 489,924
Posts 30,448,124