TANAPA kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANAPA kunani?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Zux de, May 4, 2012.

 1. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna kipindi tanapa walitangaza nafasi mbalimbali za kazi. Lakini mpaka sasa sielewi mchakato wa mzima ulikwendaje? Mwenye kufahamu anijuze.
   
 2. z

  zilakina JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kweli yaani tunasubiri hadi tunachoka kama kuna mtu anafahamu chochote atuambie.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,264
  Likes Received: 19,396
  Trophy Points: 280
  mmeshaliwa wameshapeana huko ..kwa vimemo
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huwa wanachelewa sana kuita interview hata mimi nasubiria hizo japo nacheki na ishu nyingine
   
 5. C

  Crecent Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kijana!!!kwa taarifa nilizonazo Tanapa watu walishaanza kazi, so jaribu fatilia ujilizishe.
  All the best!
   
 6. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau nimefuatilia huko TANAPA hakuna watu walioitwa huko.
  Ishu ni kuwa waombaji ni wengi hivyo wanaangalia utaratibu mzuri wa kuita watu wapige pepa kama inavyofanyika katika Taasisi zingine.
  Hivyo hakuna aliyeitwa kuanza kazi.
   
 7. C

  Crecent Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante!!!muulizaji atakuelewa,
  God bless You.
   
 8. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Je unataka kazi au nataka kuingia kufanya kazi TANAPA? Kama kazi omba maafisa tarafa wametangaza angalia katika tovuti ya ajira serikalini deadline katikati ya mwezi huu na omba hata ukipata unaweza kuacha na baadaye kwenda unakohitaji mwenyewe kama kuna nafasi huko
  "KUKAA BILA AJIRA NI VIBAYA PIA INAUMIZA WALIKUWEPO NYUMA YAKO NA KUFUATA MIENENDO YAKO"
  USHAURI
  OMBA KAZI!
   
 9. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutoka HR Department ndani ya Tanapa: Hakuna aliyeitwa na pia bado hawajazichamabua barua ngoja tusubiri tuone mambo yakiwa tayari mtajulishwa.
   
 10. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau nahisi kama tanapa washanichinjia baharini. Mbona kimya sana! Kuna mdau yeyote aliyeitwa?
   
Loading...