Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

application zimetosha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu! nawaombeni kwa mtu yeyote aliye na update za nafasi za kazi za mining naombeni anijuze! nina Diploma in mining engineering and Iam able to work on both surface and...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Siichukii hii tume ya ajira inayosimamia kuwaajiri wafanyakazi wa serikali kuu na taasisi zake. Ila kinachonipa hofu na mashaka ni hili sharti la kwamba nakala za vyeti utakavyoambatanisha na...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Nahitaji Baby Sitter, Awe Msichana, MSafi, Muelewa na Mwenye kujua mahitaji ya watoto. Atakuwa anakaa na Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja katika muda wa kazi ( Saa 2 asubuhi mpaka saa 11...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale waliofanya written interview ya Nationa Audit Office Sept 2011 waliambiwa kuwa Sekretariet iliamua kuita watu wengi ili iwaweke kwenye Database wale watakaofanya vizuri na litakapotokea...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration. Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
rchugga updates inatafuta wanachuo ambao wako tayari kujituma kutafuta habari zinazoshika katika mikoa, chuoni na mazingira waliyoopo.. kwa mawasiliano zaidi, tembelea tovuti yetu...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamaa walitoa vi-nafasi. Nimekuwa nikifatilia magazetini mpaka sasa naona hata nauli inakuwa shida, ukizingatia napenda kufutilia mambo haya gazeti la Mwananchi = 800/= @. Mwenye taarifa za lini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Fuata link hii hapa www.ajira.go.tz au Public Service Management KILA LA KHERI
0 Reactions
14 Replies
3K Views
KAY DEE INVESTMENT INATAFUTA WAFANYA WA KUFANYA KAZI YA KUUZA LUKU NA KUTOA HUDUMA YA M-PESA SIFA ZA MWOMBAJI 1.MSICHANA ASIEZIDI UMRI WA MIAKA 25 2.AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE 3.AWE ANISHI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Job Title: OFFICE ATTENDANT (REF: EAC/HR/2012/040) Grade: G1 Organisation: East African Court of Justice (EACJ) Department: Court Administration Reports to: Court Administrator Main Purpose of...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1. kuna post za serikalini kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo? 2. Kwa mfano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bosi wangu amenipa kazi ya kumsaidia kumtafuata receptionist.Awe na sifa zifuatazo Awe na Certificate ya Customer Care au Reception. Awe anajua kuongea Kingereza(Communication Skills) Awe na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
juhudi kubwa zimekuwa zikifanywa ili kupunguza watumiaji wa madawa ya kulevywa kwa dhamira ya kuwa na taifa la watu wajasiamali. jee unasemaje kuhusu tatizo hilo na vikundi vya ulezi huo katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Am 21 years guy looking for a peace work anywhere within here in Dar. Napatikana Ukonga.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nasikia kuna nafasi za kazi zimetoka hazina mwenye taarifa atujulishe pliz
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wadau walioapply prisons ngazi ya waliomaliza vyuo vipi wameshaita??sielewi kinachoendelea naombeni ufafanuzi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom