Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya ajira na sharti la kuthibitisha vyeti kwa mawakili na mahakimu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Baba Mtu, May 30, 2012.

 1. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Siichukii hii tume ya ajira inayosimamia kuwaajiri wafanyakazi wa serikali kuu na taasisi zake.
  Ila kinachonipa hofu na mashaka ni hili sharti la kwamba nakala za vyeti utakavyoambatanisha na barua yako ya maombi ni lazima vithibitishwe na wakili au hakimu, yaani ufanya kama vile unavyofanya katika kujaza fomu za kuomba mkopo bodi ya mikopo vyuo vikuu (i.e. certified copies of academic certificates).
  Kwa jinsi navyojua mie waombaji wengi wa kazi kipato chao si kikubwa sana. Na hawa jamaa zetu mawakili na mahakimu ukiwapelekea ku-certify document, wanakuhitaji ulipe pesa kati ya sh 1000/= hadi sh 10000/= kwa kila ukarasa atakouweka muhuri wake, bei inategemea umekwenda kwa wakili au hakimu wa aina gani. Mfano mwaka 2007 pale chuo kikuu dsm kulikuwa na wakili alikuwa akitoza sh 2500/= kwa ukurasa katika zile fomu za mkopo. Sifahamu kwa mwaka huu ghalama zikoje.
  Naiomba tume hii iliangalie upya sharti hili, vinginevyo watanzaniawengi wenye sifa watashindwa kuomba kwa kukosa pesa za ku-certify vyeti au watatuma maombi bila ku-certify vyeti na kupelekea maombi yao kutumpwa kapuni kwa kuwa hayakutimiza sharti. Nashauri libakie sharti la kuwataka watakaoitwa katika usali waende na vyeiti vyao halisi.
  Sasa kwa mfano mtu una vyeti kama kumi vya ku-certify, je maisha yatakuwaje???????????!!!!!!!!!!!!!!!, ugonjwa huu wa UPEMI (Ukosefu wa Pesa Mifukoni) Tafadhari tume ya ajira fikilieni upya sharti hili.
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mbona ku- certify nakala za vyeti ni kitu cha kawaida na hasa kwa dunia ya sasa iliyooza
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni kawaida lkn ni usumbufu kwa anayetafuta kazi kwa mara ya kwanza:

  Provided siku ya interview watu huwa wanaenda na original certificate haitakiwi tena mwombaji kuongezewa mzigo na umasikini alionao kwenda ku-certicify copies kwa Mwanasheria:

  Sekretarieti ya ajira inabidi iwe ina trace kwenye data base za vyuo husika ili ku-comfirm uhalali wa mwombaji: vinginevyo watwambie kwamba wanapewa 10% na hao wanasheria wanaowatafutia ulaji.
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hil tangazo la lin? Mbona la tarehe 25 mei lilikua la kisw na halijasema mambo ya ku certify vyet? Na mpaka sasaiv nimelisoma tena na cjaona kucertfy?
   
 5. k

  kiwembe1983 Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  kucertify ni lazima wakati unatuma maombi kwa nafasi za serilkali na taasisi zake.unachoweza fanya usingoje mpaka nafasi zitoke ndo uanze kufanya hiyo michakato,ninakushauri tafuta pesa,u then certify a number of copies and keep them for future benefit and never misuse those certified copies.it will surely help u.
   
 6. d

  dalu Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiukweli wanahitaji kuangalia upya hicho kigezo kulingana na hali halisi ya waombaji wa ajira.kama ulivyosema ni gharama kwenye kucerity vyeti,pili ule umuhimu wa kucertify vyeti haujachukuliwa kwa lengo lile wanalotaka wapo.kusema hvo namaanisha ni kwamba mtu anaenda mahakamani kucertify vyeti ukifika tu karani anakuita na kuanza kukuweka sawa mkikubaliana anachukua zile copies wala hata hawaitaji kuona original zikwapi,hakimu anaenda tu kusaini kuwa it's true copy of original and then karani yeye anakuja kugonga mihuri tu.na adha nyingine ni kwamba watu wanaomba kazi nafasi karibu kila mara zinapotangazwa hadi labda afanikiwe kupata,kwahiyo katika hali kama hiyo atakuwa anaenda mara kwa mara kwa hakimu au wakili kumpelekea pesa ya sahihi.
   
 7. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi nafikiri tufuate maelekezo yaliyopo kwenye tangazo husika, kama halijahitaji kusetifai basi usifanye hivyo. lakini kama wanataka kusetifai basi fanya hivyo. pia naungana na mjumbe mmoja aliyepita kuwa tangazo la tar 25 may halijaindiketi suala la kusetifai hivyo wakichukulia kigezo hicho tutaanza kuwaza vinginevyo juu ya utendaji au kilichopo nyuma ya pazia la tume hii. yangu ni hayo tu.https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/flock.gif
   
 8. combra

  combra Senior Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimechoka mwili na roho.kwahiyo saivi hata transcript uki-certify wanazikubali?au wanatak original peke yake?kazi kwelikweli kwa sisi walalahoi
   
 9. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hilo mojawapo ya mashariti kwa hiyo jitahidi kuyafuata hii ndo nchi yetu bwana hata ukienda mahakamani kwenyewe hizo nakala origino hata haziangaliwi wanaangalia hela tu. Ni kama mradi vile.
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Pale SUA sijui siku hizi...lakini miaka michache ya nyuma, watu tulikuwa tunatoa copy pale pale kwa idadi unayoitaka na kupeleka kwa mkuu wa kitivo ku-certify kwamba ni true copy of original certificate! Baada ya hapo, hakuna tena longolongo za kupeleka cjui kwa wakili cjui nani cjui!!
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sijaambiwa ni certify, wamenambia nitoe nakala za kopi za vyeti, achen longo longo, tatizo le2 wabongo sehem ya kujamba tunataka kuarisha, tufateni masharti ya matangazo husika na si kugeneralise basing on our old schematas.
   
 12. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Tangazo lenyewe ni hili

  View attachment 54990
   
 13. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  vi. Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
  - Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
  - Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
  94
  - Form IV and Form VI National Examination Certificates.
  - Computer Certificate
  - Professional certificates from respective boards
  - One recent passport size picture and birth certificate.
   
 14. k

  kiweba New Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kucertify lazima kaka, yahani siku hizi ktka ajira zote lazima
   
 15. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hiyo transcript ndiyo haitakiwi kabisaaaaaaa! Mshikaji mmoja nilikuwa nae katika ile interview ya arusha tech alikosa kazi kwa kuwa hakuwa na vyeti halisi, alikuwa na transcript, ingawa alifauru interview zote mbili, ya kuandika na kuongea.
  Soma masharti yao haswa hapo kwenye maandishi makubwa.


   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Inamaana kama vyeti 900 na kitu vya wanajeshi na polisi ni vya kufiji walikua hawasertify
  na kama walikua wanacertify mbona tunatakiwa kwenda na og copy ?
  harufu ya maamuzi magumu hii
   
 17. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hilo ni la 28, sio 25..
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wabongo tunaponza na kukariri mambo.
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  huo ulazima unautoa wapi? Nimewahi pata kazi mbili, pasipo kucertify wala kupeleka vyeti original
   
 20. w

  white wizard JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wa2 acheni kukalili!we fuata maelekezo yaliyomo kwenye tangazo husika,ila kwa ajira za serikalini,barua lazima iandikwe kwa mkono(sio typing)na ndilo huwa hawasemi!lakini mengine yote husemwa.
   
Loading...