Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

kuna watu wanaiotwa A3 institute of Professional Studies kama wawajua tujuze
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/B/130 25 Mei, 2012 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi...
1 Reactions
9 Replies
13K Views
Naomba wadau mliopo humu mnaofanya kazi tbl tunaomba muwe mnatupatia updates zinazoendelea juu ya maombi yetu tuloleta hapo head quarter.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nafasi za kazi zilizotangazwa jana 28 may na sekretarieti ya ajira,Zile za Arusha Technical College zimerudiwa na Mpaka sasa watu wanaenda kuripoti.Sasa sijui wana maana ipi au watu wamekimbia...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Curriculum Vityae I am aply to my job of security guard to yu boss in you company of shoprite. I complete to std 8 examination certificate in 1997. My skool HLOMANI HIGH SKOOL very good...
10 Reactions
29 Replies
7K Views
Jr,, hawa jamaa Interview zao vipi? Mwenye detail Kidogo msaada wana Jr. Because here its every thing u can get 4 serious mostly!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu,naomba kuulza,eti ni kweli crdb huwa hawaajiri graduates wa vyuo vingne tofaut na sua,kama ni kweli wanatumia vigezo gani?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hi all,bn called for a written interview at TCAA and ts prepared by professional bodies, kwa hiyo basi naomba kwa wale ambao washawahi kufanya interviews for national audit,nssf,tpdc,pspf...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nauliza wana jf wenye taarifa zozote kuhusu ajira za maafisa tarafa vp wameshaita intavyu. au ndowamepita bila kupingwa? nisaidieni kwa taarifa maana sina ninaloelewa.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Bonya hapa acha visingizio eti unatumia simu hivyo link hutaki! Hivyo wenye simu tafuteni cafe's namtazame document zilizo ambatanishwa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ANAHITAJIKA CONTRACTOR WA UMEME ALIYEIDHINISHWA NA TANESCO-ARUSHA. MWENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA UHARAKA NA UFANISI. MWENYE UTAYARI WA KUFANYA MRADI KATI YA NGUZO MOJA HADI MBILI katika eneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni swali sio statement.... hawa jamaa walinipiga kila ki competency mda mrefu kinoma online, sa sijui ndo nshabugi au bado?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dear Majasho, We have now processed all the applications for the advertised position of "Tanzania Graduate Associate - 2012". Unfortunately you have not been found suitable for this role. We...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kunakazi wametangaza ni nyingi sana.je bado wanataka watu wenye original cert or ata transcript watazipoa.mana wengine tusije poteza hela zetu kwa kuwachangia posta na wenye stetionaries.naombeni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wapendwa,mimi nimehitimu IFM mwaka jana degree ya banking&finance,nina miaka 27 naishi Dar es Salaam,ni Mwanaume. Ni muaminifu,mwenye nia ya kujifunza,nina mahusiano mazuri&tabia pia...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Description Art in Tanzania (AIT) is a self-sustainable Non Government Organization (NGO) registered in Tanzania, Zanzibar, Ethiopia and Finland. Established in Dar es Salaam in 2001, Art in...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
hiv jaman km nafas za afisa wanyamapori mbona zimerudiwa huku zikiwa na idadi chache tofauti na zile za mwanzo wakt sijackia waloitwa nafasi hizo,au wapo waloitwa???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hawa secreteriat ya ajira wanatumia njia zipi/kuita kwenye intavyu? nina wasiwasi nisaidieni. kwa wanaofahamu nisameheni kwa usumbufu wangu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
eti inachukua muda gani kuitwa kwenye usahil kwa waloomba kazi na inachukua muda gan kuanza kazi, mana nimepata uzush kwamba kwa kaz zilizotoka juzi inaweza kukuchukua hata miaka miwili ndo usail...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
The Law School of Tanzania is a public institution established by an Act of Parliament, Cap.425, to provide practical legal training for law graduates aspiring to become legal practitioners...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom