Nahitaji Baby Sitter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Baby Sitter

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Doltyne, Jun 4, 2012.

 1. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nahitaji Baby Sitter, Awe Msichana, MSafi, Muelewa na Mwenye kujua mahitaji ya watoto. Atakuwa anakaa na Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja katika muda wa kazi ( Saa 2 asubuhi mpaka saa 11 Jioni)... Kazi Ipo Kigamboni, kwahiyo anayetoka maeneo ya karibu au mwenye kuweza kufika mapema atapewa kipaumbele zaidi. Kama atapendelea kuishi nasi kwenye nyumba moja, ni vema pia.. Mshahara mnono utatolewa kwa anayestahili.<br>Kwa maelezo zaidi piga namba 0714881500
   
 2. D

  Diccky4 Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mm mwanaume nina miaka 43 naitaji hiyo kazi! Napatikana kwa diccky4@ovi.com
   
 3. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duuuh mnono?kwa kawaida huwa haizidi 150,000. Je mnono unazidi hapo ndg yangu?nimueleze muhusika?
   
 4. z

  zilakina JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Diccky4 acha uzushi mara ohhh natafuta mke mara ohhh unataka kuwa baby sitter... .mwenzio anashida kweli.
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wee ndo unachanganya vitu, hata elfu hamsini yaweza kuwa mshahara mnono kutegemeana na Muhusika. Na Milioni kumi yaweza kuwa mshahara wa hovyo pia itategemeana na muhusika pia. To me Netpay ya M5 kwangu ni mshahara mnono
   
Loading...