Receptionist or Custumer Care Urgantly needed. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Receptionist or Custumer Care Urgantly needed.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by jambo1, Jun 3, 2012.

 1. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bosi wangu amenipa kazi ya kumsaidia kumtafuata receptionist.Awe na sifa zifuatazo
  1. Awe na Certificate ya Customer Care au Reception.
  2. Awe anajua kuongea Kingereza(Communication Skills)
  3. Awe na knowledge ya Computer Application
  4. Awe msichana si zaidi ya Miaka 28.
  ZINGATIA:Ameomba nimpatie CV si zaidi ya KUMI so kama uko na ndugu yako au wewe mwenyewe nitumie mapema iwezekananvyo.If possible attach na passport Size. Mwisho ni kesho saa SITA Mchana. TUPIA CV: tambikagani@yahoo.com Kila la kheri.
   
Loading...