Tunatafuta wafanyakazi wa kuuza luku na kutoa huduma ya m-pesa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatafuta wafanyakazi wa kuuza luku na kutoa huduma ya m-pesa.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kelvinkipeta, Jun 3, 2012.

 1. k

  kelvinkipeta Senior Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  KAY DEE INVESTMENT INATAFUTA WAFANYA WA KUFANYA KAZI YA KUUZA LUKU NA KUTOA HUDUMA YA M-PESA
  S
  IFA ZA MWOMBAJI
  1.MSICHANA ASIEZIDI UMRI WA MIAKA 25
  2.AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE
  3.AWE ANISHI MAENEO YA TEMEKE,KWA AZIZI ALLY,AU MTONGANI.
  4.AWE NA BIDII YA KAZI

  TUMA MAOMBI KUPITIA
  kelvinvitus@ymail.com
  au
  kaydee investment
  po box 44097 -0713109099
  TEMEKE DSM.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu ukifanikiwa kumpata mfanyakzi nitashukuru kama utatu'update.
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  weka kiwango cha mshahala.......!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,992
  Likes Received: 8,433
  Trophy Points: 280
  Laki moja kwa mwezi
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 628
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  jamani laki moja mbomna hela ndogo sana je chakula kwa watarajiwa wafanyakazi mtatoa?
  Asanteni kwa kunijibu
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mi nipo tayari kwa laki na nusu kwa siku
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  aisee! kwa mtu anaye deal na pesa, kumlipa laki moja kwa mwezi ni kuatarisha mtaji wako mkuu: weka kiwango kizuri cha mshahala kama ilivyohainishwa kwenye WAGE ORDER ya 2010 juu ya mishahala ya Sekta, ukifanya mambo yako yatakunyokea.
   
 8. d

  debito JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  laki 1 kwa mwezi halafu chakula na nauli ni juu yako au anajitegemea?mbona mna utani na maisha ya watu jamani,TUTAFIKA?
   
Loading...