Shortlistnya Uhamiaji

JamboJema

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,143
209
Jamaa walitoa vi-nafasi. Nimekuwa nikifatilia magazetini mpaka sasa naona hata nauli inakuwa shida, ukizingatia napenda kufutilia mambo haya gazeti la Mwananchi = 800/= @. Mwenye taarifa za lini wanatoa hiyo shortlist nitafurahi akinijuza!
 
Kuwa na subira,bado tuko kwenye mchakato wa kupitia maombi yenu.over
 
short list bado maana ni siku yoyote katika kukamilisha ratiba ila wenye nafas zao wameshaanza kazi so tunasubili wafate protocal ya kuwainterview
 
Ndugu zangu tusivunjane mioyo. Tz yetu hatakama imekwisha sio kiivo. Tusubiri majina
 
Back
Top Bottom