Msaada wadau!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wadau!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Prince Dikembe, Jun 1, 2012.

 1. P

  Prince Dikembe Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. kuna post za serikalini kama za Tutorial Assistants vigezo uwe na GPA kuanzia 3.8 so ukiweka cheti 2 cha chuo ambacho kinaonyesha class tu watajuaje kuwa ume-meet vigezo?

  2. Kwa mfano nikaambatanisha vyote (Cheti na Transcript) kutakuwa na tatizo kweli hapo wadau...!?

  NAOMBA MNIJUZE TAFADHALI!!
   
 2. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Umejijibu Tayari, Fuatilia hiyo Rangi nyekundu.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hawa utumishi wanajichanganya tu, sioni sababu za kukataa transcript
   
 4. P

  Prince Dikembe Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu but wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana hawataki kabisa kuona transcripts so once nikaambatanisha vyote viwili (Cheti na transcript) inaweza pelekea maombi kuwekwa kapuni...hebu funguka zaidi hapo mkuu!!
   
 5. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Jiamini, au unawasiwasi na uwezo wako?
   
 6. P

  Prince Dikembe Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najiamini tena sana 2 sema masharti yao yamenichanganya kidogo...all in all thanx 4 ur concern mkuu!!
   
Loading...