utumiaji wa madawa ya kulevya na athari zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utumiaji wa madawa ya kulevya na athari zake

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by vitongoji, Jun 2, 2012.

 1. v

  vitongoji New Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  juhudi kubwa zimekuwa zikifanywa ili kupunguza watumiaji wa madawa ya kulevywa kwa dhamira ya kuwa na taifa la watu wajasiamali. jee unasemaje kuhusu tatizo hilo na vikundi vya ulezi huo katika kupiga vita, vinasaidiaje?
   
 2. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  sio mahala pake!
   
 3. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  usishangae mjomba, huyu jamaa anaonekana ni mgeni humu jukwaani, labda atakuwa kafanikiwa kujiunga jana JAMII FORUMS
   
 4. M

  My prince Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiwa mgeni usiwe unakurupukia majukwaa. Sasa ulicho post kinaendana na jukwaa husika.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hiyo nayo ni nafasi ya kazi au tenda, sielewi elewi ati!
   
 6. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaumwa tko nini,madawa ya kulevya ya nni hpa? nyambafuuuuuuu...
   
 7. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wako watakao tetea ujinga huu..
   
 8. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  mkuu thx for information, deadline lini? then sijaona E-mail address sa tuna apply vipi? qualifications? position descriptions? unamtu tu CV au? dah kweli tembea uone.
   
Loading...