Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Tembelea mbao za matango za kata au manispaa. Japo ndiyo hivyo wengine hatukubahatika!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wanaJF, Salamu. Nimeitwa kwenye usaili COASCO wa Assistant Auditor. Ila kwa sasa ninafanya kazi sekta binafsi. Si ifahamu vizuri COASCO. Wakati naomba kazi nilikuwa sina kazi na...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
USAILI WA TAASISI YA UDHIBITI WA MBEGU (TOSCI) ULIPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/08/2012 NA 21/08/2012. LAKINI KUTOKANA NA UWEZEKANO WA TAREHE HIZO KUINGILIANA NA SIKUKUU YA IDDI, USAILI HUO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba kuuliza aliye na taarifa ya majina ya sensa kata hizo ambazo 2lishafanya usail alh 2julishane wakuu isije ika2pita man nilisikia tetesi kuwa watatoa leo.Msaada kwa hilo plz.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
vp wakuu mliopo Arusha mjini hiyo nafasi ya sensa vp, wameshatoa majina.?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunashangaa majina ya sensa wilaya ya hai hadi muda huu hawajabandika!!!!!Tatizo nini ufisadi au kukuchakachua
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina mili 3 nataka kuanzisha bia shara mkoa wa morogoro je nibiasharagani inayolipa kwamkoa ule kwani mie nimgeni wa hapo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wale tuliomba nhif, je kuna mwenye tetesi interview wanaanza kuita lini? Alafu kwa wale wa jeshini nafasi kwa wenye professional zao tetesi nafasi ni mwezi wa tisa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BrighterMonday > Job Details > Support, Development & Implementation Resource [Jobs in Kenya, Tanzania & Uganda] Category: Information Technology & Telecoms Location: Dar es Salaam...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nisaidieni mbinu za kushinda kazi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wana jf naomba kwa yeyote aliyeripoti kwenye kata kwa ajili ya usaili wa kazi za ukarani wa sensa mtujuze nini kinaendelea.vigezo gani wanataka na maswali wanayouliza.huku mikoani bado kimya.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Naomba msaada wapendwa, anayefahamu vizuri hii tume ya mionzi, kwani nimeitwa kwenye usaili next wk, na wanasema kwa nafasi niliyoomba mshahara ni PRSS 1, nini maana yake? Na vp maslahi mengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi jamani inaingia akilini kweli pale ambapo viongozi wa serikali wanaposhindwa kuwaeleza wananchi umuhimu wa sensa na kuishia kuwapiga mkwara kuwa watakwenda jela miezi sita au faini lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
0 Reactions
45 Replies
5K Views
wakuu mimi ni mmojawapo kati ya walioitwa kwenye interview ya Accounts assistant na TANAPA, sasa this is my 1st interview, wataalam na wazoefu wa hizi vitu naombeni ma skills ili nikachukue ofisi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
jaman msaada hivi swali la mtu kujiintroduce mwenyewe lapaswa kujibiwaje? na nisaidien link ya kutafuta maswal na majibu ya interview,msaada tafadhali!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani huu ni uhuni ulioje, . . Ofisi za manispaa ya morogoro mjini ndiko watu walipochukua fomu za kazi ya muda ya sensa kama ilivyo,sasa tupo katka ofisi hzo kama eneo letu la field na sisi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
not later than 7th August 2012 NATIONAL UNV INFORMATION TECHNOLOGY SPECIALIST Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) The United Nations Volunteers is the UN organization...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeoni update za majina ya makarani wa sensa dodoma mjini yamebandikwa wapi?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom