Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kumekuwa na manung'uniko ktk kata yetu ya ndugumbi magomeni juu ya uchaguaji wa makarani wa sensa,Mtendaj wa kata kaweka watu wake na pia watendaji wa ccm!Nchi inakwenda wp?Na baadh ya waliopata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau na wanajf kwa ujumla,anaomba juwajulisha kuwa kwa wale walioomba nafasi za ukarani na usimamizi wa sensa majina yamebandikwa ofsi za watendaji wa kata na kesho ni siku ya usaili hasa kukagua...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Tume ya ajira wameita watu kwenye interview kwa nafasi mbalinbali tarehe na mahali tofautitofauti. Je? Sio kwamba wanaturudisha kwenye kile tulichokikimbia na hata tukaanzisha secretariat ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye email address ya HR wa IPTL naomba msaada.thanks
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi tangazo waliloweka katika mtandao wao ndio linawahusu walioomba kazi zilizotangazwa tar 28 mei?au kuna wengine waliomba kabla? Tusaidieni sisi tuliopo huku garijembe maana isije tukastuka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
nataka kuuliza je majibu yanatoka lini kwa walioomba kazi ya ukarani coz kazi rasmi inaanza tarehe sita...nawasilisha
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Natafuta kazi ya fundi sanifu msaidizi wa maabara, kwa sasa nipo bila kazi baada ya kumaliza mkataba wangu na project ya kimarekani iliyokuwainajishughulisha na utafiti wa malaria. Nina experience...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
TANZANIA NATIONAL PARKS CALL FOR INTERVIEW Tanzania National Parks (TANAPA) is a Parastatal Organization whose mandate is to manage and regulate the use of areas designated as National Parks...
0 Reactions
4 Replies
25K Views
Habari wan jf kuna ndugu yangu aliomba utumishi akatumia transcripts ameitwa kwenye interview bila hata kujali kile kipengele cha transcripts is totaly prohibited lakini kapata nafasi uzuri tayali...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
POST: - BANK TELLERS (11 POSTS) the position reports to the supervisor, cash and customer service and will be carrying out the following responsibilities:- Provide quality service to Customers...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habri wana JF. Ndugu zangu nina diploma ya Eletronics & Telecommunication Engineering. Nina uzoefu katika installation,maintenance and commissioning of RF and Microwave link katika minara ya...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
http://www.fao.org/fileadmin/user_upload/VA/pdf/IRC2097_RAFe.pdf Wakuu tazama uwezo wako hapa! Resources Officer GRADE LEVEL: P-4 DUTY STATION: Accra, Ghana ORGANIZATIONAL UNIT: Regional Office...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa Watanzania:- East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: SALES EXECUTIVE at Precision Air Services in Tanzania,Dar Baraka tele
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mi ni mwanafunzi
0 Reactions
16 Replies
4K Views
mtu akiwa na degrii 2, nafasi zikatoka serikalini zenye sifa zake ila wanahitaji mwenye degrii moja. huyo mtu akaamua kuomba hiyo nafasi kwa kutumia digrii ya kwanza akafanikiwa kupata hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
our sister company sokoni advertisers is looking for a salesman/woman who will be paid on a commission base, if intrested please send your cv to mujeeb986@yahoo.com
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu wote. Ukisikiliza Clouds Fm wanatangaza kuwa secretarieti ya ajira na wizara ya fedha wametoa nafasi za kazi lakini ukitazama website www.ajira.go.tz iko suspended na Public Service...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We are looking for a graduate civil engineer,quantity surveyor or an architect to join our company for the ongoing project.FTC holders may also apply.Send your cv to propertysolutiontz@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom