sensa Temeke na kwingineko majina hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sensa Temeke na kwingineko majina hadharani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kaka mwisho, Aug 6, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA.
   
 2. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ndio naelekea kata nikiyakuta tawafahamisha. Hata huku taarifa ni kama zako
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  haya mkuu ila ungeipeleka kule jukwaa la kazi..
   
 4. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kazi yenyewe magumashi matupu.
   
 5. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mkuuuuuu toa feedback vp wapebandika kweli?
   
 6. k

  keytte Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kwenye kata ya kijitonyama wamesema majina yatabandikwa saa nane.
   
 7. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kata ya Charambe wamebandika leo. Pale uwanja wa taifa wamebandika ila sijui kata gani na ni karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya
   
 8. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  zoezi la kubandika linaendelea ila jamaa yangu usipime maana mh!? Ukiona jina lako labda una undugu na afisa mtendaji wa kata
   
Loading...