My 1st Interview nipeni maujanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My 1st Interview nipeni maujanja

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ndekirhepva, Aug 5, 2012.

 1. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wakuu mimi ni mmojawapo kati ya walioitwa kwenye interview ya Accounts assistant na TANAPA, sasa this is my 1st interview, wataalam na wazoefu wa hizi vitu naombeni ma skills ili nikachukue ofisi,
  nikimaanisha,
  1) huwa wanauliza maswali ya aina gani? kama ni kuhusu proffesion au ni maswali ya uelewa??
  2) unatakiwa uingie ingie vipi pale kwenye panel??
  3) unasalimia vipi manake watakua panelists wengi kidogo na ni wake kwa waume,
  4) na vipi wakikupiga swali afu una uhakika kabisa huna jibu, utawajibu vipi?? istoshe kukaa home nimechoka mbaya..

  nipigeni tafu nikachukue kitengo please
   
 2. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  duh...
  Watu wana roho ngum kichiz,kama ya korosho??
  Zat means hamtaki nikachukuebkitengo???
  Haya bana nibanieni tu ila me keeping the faith ntashinda hii kitu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wanauliza Je swala la wizi wa wanyama nini maoni yako na je utafanya nini kudhibiti wizi wa twiga na faru?
   
 4. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mlivyoitwa wengi, nadhani itakuwa ya kuandika.. Review kwanza madesa ya Accounts
   
 5. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Si una biblia? Mtu hawezi kukuinua zaidi ya sehemu aliyopo,xo soma bible leo utakutana na neno lako na uombe ,then unaingia kwa confident,ukiingia anza kuwauliza maswali wewe.
   
 6. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  du kuuliza si ujinga! ila mm na ww hatuna tofauti sana, tungojee wataalamu washushe mambo kitaeleweka tu usijali. ww ni mmasai nn? maana nasikia sikia mitaani eti ukiwa mmasai tanapa uwezekano wa kupata ni mkubwa zaidi.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Mie nitakuwepo kwenye panel.

  Naangalia maujanja yote unayohukua hapa halafu nabadilisha maswali kuyapangua :)
   
 8. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu kama kesho ni interview umechelewa kuleta hoja yako cha msingi angalia you tube au google basic question za interview hasa za hiyo kazi yako shinda usiku mzima ukicheki hizo video lazima utatoka na kitu hata jinsi unavyosalimia unavyouliza maswali yote yamo humo cheki vizuri tu.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hebu google kwanza 'how to answer job interview questions'. Utapata maujanja ya jinsi ya kujibu tricky questions.

  All the best, otherwise uvae kiwalo comfortable. Na ufike in time. Kumbuka kubeba original certificates just in case.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,602
  Trophy Points: 280
  Kurelax pia ni muhimu sana. Kama swali hujalielewa vizuri hakuna ubaya wowote kuomba swali hilo lirudiwe. Ongea kwa kituo hakuna sababu yoyote ya kuongea kama unaharakishwa/una haraka. Kila la heri.

   
 11. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Usivae tshirt na jeans
   
 12. GreatMkubwa

  GreatMkubwa Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  angalia hii link na nyinginezo utapata cha kusema How to Answer 23 of the Most Common Interview Questions | Wise Bread ,. japo mara nyingi sana interview zinataka uwe na confidence na usiwe na wasi wasi we chukulia kama vile ile kazi uipate uikose yote sawa tuuu lakini ukitaka kuwa lazima niipate utashindwa hata kutaja jina lako ati alaaa
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wakiomba uhulize swali la nyongeza mwisho wa interview ya pili( interview ya kwanza ni written)

  Uliza hivi je TANAPA kuiba wanyama wetu ina malengo gani na msitakabali wa taifa?
   
 14. m

  mishmimi Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hey just tulia tena kama msom usiwe na papara,kumbuka interview its all about selling yourself so jua jins ya kujinad we tanzanians tuna tatizo hilo hatuju kujinadi.andaa confidence ya kutosha usipo elewa kitu uliza,halafu sauti iwe kubwa ya kutosha,best of lucky boy.:smile-big:,:busu
   
 15. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tafadhali sana kijana usi kremu kremu mambo mazito utashangaa sana pale...
   
 16. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Soma profile ya TANAPA iwe on your finger tips.
   
Loading...