Tangazo kwa wasailiwa -kuahirishwa kwa usaili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo kwa wasailiwa -kuahirishwa kwa usaili

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Baba Mtu, Aug 7, 2012.

 1. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  USAILI WA TAASISI YA UDHIBITI WA MBEGU (TOSCI) ULIPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/08/2012 NA 21/08/2012. LAKINI KUTOKANA NA UWEZEKANO WA TAREHE HIZO KUINGILIANA NA SIKUKUU YA IDDI, USAILI HUO UMEPANGWA KUFANYIKA TAREHE 15/08/2012 NA 16/08/2012.
  MCHUJO UTAFANYIKA TAREHE 15/08/2012 NA USAILI UTAFANYIKA TAREHE 16/08/2012

  SEKRETARIETI YA AJIRA INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU UTAKAO JITOKEZA


  CHANZO:

  PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
   
Loading...