Sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Amoney, Aug 6, 2012.

 1. A

  Amoney New Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani inaingia akilini kweli pale ambapo viongozi wa serikali wanaposhindwa kuwaeleza wananchi umuhimu wa sensa na kuishia kuwapiga mkwara kuwa watakwenda jela miezi sita au faini lakini sita,je huku ni kuonyesha uwezo mdogo wa viongozi wetu?
   
 2. M

  Makareti Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si ndio elimu sasa hiyo ya kwenda jela.afu si unajua baadhi ya watu wana vichwa vigumu.
   
Loading...