Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
nisaidieni mbinu za kushinda kazi
Nafasi gani mkuu?nisaidieni mbinu za kushinda kazi
Hongera kwa kupiga chini ualimu kwani serikali yetu haiwajali kabisa.Manager, naacha ualimu
usiongope, hakikisha vyeti vyako vyote ni halalinisaidieni mbinu za kushinda kazi
Manager, naacha ualimu
Chunguza mapema na kumjua muajiri wako mtarajiwa. kama unaweza kumpata mtu wa kukupa inside information vizuri zaidi. Vile vile jaribu kujua huo umeneja job content yake ni nini? Kinaweza kuwa cheo kina sound kubwa lakini hakina wajibu wala hadhi. Kama wana website ingia humo unaweza kupata kitu. Lakini mwisho wa siku ujuzi wako, uzoefu, kujiamini na unavyojinadi mbele ya watu ndivyo vitakavyokupa kazi. Hiyo ni kama hakuna kutoa hongo au kupendeleana.Vaa smart, jijenge kujiamini, jibu swali unaloulizwa kwa ufasaha ukiwa umetulia pasipo kubabaika, swali ambali ambalo unaweza kujaribu kulijibu yes you can try, lakini kama swali hulijui kabisa ni bora kutojibu kabisa na kusema hulifahamu kuliko ukasema uongo au kutoa jibu la uongo, ukiulizwa kuhusu salary ni vizuri ukawadodosa watu kwa pembeni kujua arte za salaries zao ili unapoulizwa usiende chini sana (inakushushia soko lako) lakini pia usiende kiwango ambacho kiko juu zaidi ambacho wao hawakiwezi, lakini pia usisite kuwauliza swali wakikupa nafasi.