Mwenye taarifa ya majina ya sensa kata ya kawe, Makongo na Ubungo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye taarifa ya majina ya sensa kata ya kawe, Makongo na Ubungo.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Marsy, Aug 6, 2012.

 1. M

  Marsy Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu naomba kuuliza aliye na taarifa ya majina ya sensa kata hizo ambazo 2lishafanya usail alh 2julishane wakuu isije ika2pita man nilisikia tetesi kuwa watatoa leo.Msaada kwa hilo plz.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  neda ofisi za kata wewe acha uvivu
   
 3. M

  Makareti Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una jibu mpe,maana hata kwenda huko hana nauli na ndo kwanza anasotea hicho kibarua.
   
 4. m

  mosagane Senior Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu,kwa kata ya kawe hata mimi nilifanya usaili hapo na wakasema majina yatatoka leo lakini tumefika pale asubuhi na mapema wakasema tusubili majina yabandikwe lkn tumekaa pale hadi saa sita mchana hawajabandika tukaondoka.kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kwamba wanasubiri majina ya walimu yatoke manispaa ili yabandikwe yote kwa wakati mmoja.ila majina tayari yapo ofsi ya mtendaji wa kata.nafikiri utakuwa umeelewa japo kwa ufupi.na semina inaanza alhamisi tar.09/08/2012
   
 5. m

  mosagane Senior Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kawe hawajabandika majina labda hadi kesho.tuendelee kujulishana
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu samahani mimi ndiyo natarajia kwenda kwenye usaili,naomba A-Z juu ya usaili
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Hakuna lolote lenye utaulizwa, ni just kuhakiki vyeti orijino tu...
  Bhaaaaaasi!
   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana kesho saa mbili tumeambiwa twende,mtu mia nne
   
Loading...