Walioomba ukarani wa sensa Arusha mjini (manispaa) majina yametoka....i

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
Tembelea mbao za matango za kata au manispaa. Japo ndiyo hivyo wengine hatukubahatika!
 
Mimi nimegoma sihesabiwi wala sitaki kuhesabu mtu upo mkuu wangu kajiti ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
huo uwe msimamo wako binafsi ....chondochonde usimshawishi mtu mwingine!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom