jamani huu ni uhuni ulioje, . .
Ofisi za manispaa ya morogoro mjini ndiko watu walipochukua fomu za kazi ya muda ya sensa kama ilivyo,sasa tupo katka ofisi hzo kama eneo letu la field na sisi ndio tuliokusanya hzo fomu,cha kushangaza mkuu wa kazi prof (. . .) kaja anatuambia tujihesabu wote na tuorodheshe majina yetu,pia kama kuna yeyote mwenye ndugu ambye amechukua fomu,kila mtu aandike namba ya fomu ya huyo mtu,hiyo chance wamepewa wafanyakazi wote wa manispaa wadogo wadogo,sasa sijui kwa wakubwa wamepeanaje,kesho asubuh watabandika majina na ya yetu na watu wetu yakiwemo,jamani kwa staili hii tutafika kweli?,yani mambo waziwazi hata kujificha watoto wasione hakuna. .