Anayeifahamu tume ya mionzi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anayeifahamu tume ya mionzi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rweza79, Aug 5, 2012.

 1. R

  Rweza79 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada wapendwa, anayefahamu vizuri hii tume ya mionzi, kwani nimeitwa kwenye usaili next wk, na wanasema kwa nafasi niliyoomba mshahara ni PRSS 1, nini maana yake? Na vp maslahi mengine kama yapo?
  Ni hilo tu wapendwa.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  16,000,000 per annual
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unataka kusema kwa baana nyingine basic yake ni 1,333,000?
   
 4. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  wewe ndio wasema
   
 5. commited

  commited JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Obama wa bongo acha mbwembwe mkuu.. mueleweshe jamaa akusome... dahaaa
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tume ya Mionzi ni pazuri kama umesoma mambo ya science maana wanapata sana scholarship za kusoma nje juu ya mambo ya nyuklia. Na kwa mshaara wa PRSS bila shaka wewe ni engineer au scientist maana unaajiriwa kama Researcher. Mshahara wa PRRS 1 ni kati ya 700,000-800,000/-(basic).
   
Loading...