Yanayojiri kwenye usail wa sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayojiri kwenye usail wa sensa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mapujds, Aug 2, 2012.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana jf naomba kwa yeyote aliyeripoti kwenye kata kwa ajili ya usaili wa kazi za ukarani wa sensa mtujuze nini kinaendelea.vigezo gani wanataka na maswali wanayouliza.huku mikoani bado kimya.
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yaani unataka kulikisha mtihani??
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  kuna watu kama laki moja hivi
   
 4. NYAMALAWA

  NYAMALAWA Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanachek vyeti tu,af wanakuuliza jina lako,umesoma wap o level,hapa n kata ya makuburi sijui sehem zengine nivipi
   
 5. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Migi kawaida, ila usikamatwe............. So kulikisha mtihani si mbaya. mpeni msaada.
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nashukuru wakubwa nimepata mwanga japo huku dodoma majina hayajatoka mpaka sasa
   
 7. o

  omusimba JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wilaya ya temeke vp mbona kimya?
   
 8. m

  mosagane Senior Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikubwa,nenda na vyeti original kama ulivyo ambatanisha vivuli vyake,kumbuka majina yako matatu,namba yako ya simu na mtaa/kitongoji unachokaa basi hakuna swali lingine lolote(uzoefu wa kata ya kawe sijui kwingineko)
   
 9. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  na kadi ya CHADEMA hawaulizi coz nataka nipeleke kopi
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Makarani wengi wa kiislam wamesusia usaili
   
 11. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naona kazi hapa dar itakuwa simple sana coz uamsho "waislam" wamegoma kuhesabiwa.
   
 12. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nyie wa migi ndio mnafeli mitihani ya profesheno bodiz kama nbaa na kadhalika.
  Rejea hapa:
  https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/284688-nbaa-result-for-may-2012-are-out.html  Kata ya makumbusho pia ilikuwa hivyo hivyo. Tayar nshathibitisha vyeti vyangu, nasubiri kupigiwa simu.
   
 13. Q

  Queen carren New Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wa mkoani msijali mazee kwani hakuna ishu kwenye usail wanaangalia vyeti vyako tu na unaandika jina kwenye karatasi iliyoandaliwa na wanakuuliza ulisoma wapi na ulimaliza mwaka gani bac.
   
 14. Q

  Queen carren New Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jf naomba mnijuze kitu kimoja eti nimesikia majina yaliyobandikwa leo kwenye kata
  kwa ajili ya usaili eti yatachakachuliwa tena nakutolewa mengine baada ya ck tatu wakati kuna watu waliokuja wakakosa majina yao kwanini wafanye kazi mara mbilimbili inamaana mtu kafika kaona jina lake then akafanya usail anarudi tena anakuta jina lake halipo mabo gani haya jamani naomba mnijuze the sectrate behind.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Subutu....
   
 16. Leembaswagger

  Leembaswagger Senior Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenye taarifa kuhusu kata ya mbagala kuu kama washabandika majina a2juze
   
 17. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Si uende kata ukaulize?Au hauishi huko umeombea tu njia? Well,wanabandika kesho,na wamesema watu mia nne wamechaguliwa ila kati ya hao mia tatu ni walimu.
   
 18. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kata ya kawe walikuwa leo wanatangaza marambili2, kwamba kama hujaona jina lako usiondoke leta vyeti original then unajaza kata uliotoka, so kwa huku it doesnt mata jina lipo or halipo.
   
 19. c

  chrissrenny Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo safiii sana waacheni waamke tuuuuu
   
 20. c

  chrissrenny Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iv sijajua kwanini wanagoma lakini hawa wenzetu wanatatizo gani
   
Loading...