Must be based in Arusha or Mwanza
Must have experience with sales in foods or drinks industry
He or She will be a linkage between wholesaler's and Min/Supermarkets
Must have a valid driving...
Make that Money works for You. This statement is one of the most precious things in the world but has been used as a cliché and some people dont really understand this principle. Day has 24...
Wadau habari za mchana,Naomba kujuzwa kama PSPF walishahita watu for oral interview coz naona kimya sana,Pia PPF walitoa kazi,any news naomba kujuzwa ni pamoja na LAPF
I salute you ladys and gentleman.
Ni kijana wenu hapa anaomba mumpe dili. Nina shahada ya uhifadhi na usimamizi wanyama pori,nipeni dili wazeiya kwenye ngo's mbalimbali zinazodili na...
Nina dada yangu amemaliza chuo kikuu cha ualimu masomo ya Kiswahili, Sociology, Civics kwa ngazi ya A-level anaweza kufundisha pia History kwa O - Level anaweza kufundisha na muda huu anatafuta...
Zilitoka nafasi tangu mwezi MEI tarehe 9,na wakabandika kwenye web yao walioomba waendelee kuitembelea hiyo web kwani wangeweka shortlist soon,nashangaa mwezi wa pili huu unaisha hamna kitu...
Anahitajika mtaalamu aliyebobea katika kutoa huduma ya fumigation katika maeneo ya DAR.Awe na uzoefu wa kazi hiyo na matumizi sahihi ya mbinu za tahadhari na ubora wa kazi.Mwenye kuhitaji...
Habari zenu nduguzangu, nisaidieni wakuu hivi mshahara wa grade hii ya TNPSS D ni tsh ngapi... kabla ya makato... nisaidieni tafadhali
Mungu awabariki sana
Msaada tafadhali nauliza office za E..F.C Kijitonyama ziko maeneo gani?mwenye taarifa zozote naomba anijuze,na pia kama kuna mtu anayefahamu viwango vyao vya mishahara kwa nafasi ya credit officer...
Habari wanajamvi,
Hawa ICAP Tanzania wametanga nafasi za kazi kupitia mtandao wa ZoomTanzania, kila nikiregister na kutaka kuingia nifanye
hiyo application nashindwa.
Mwenye E-mail address ya...
Habari wakuu.
TPDC wametoa post za kazi, deadline 27 june. Mimi kufika hiyo tarehe nitakua nimeshamaliza chuo (Geologist) so nimependa ni apply nijaribu baht yangu. Ila nina maswali naomba...
Shamba la ekari 110 linauzwa, kwa bei ya Tsh. 230,000,000 mwenye uwezo wa kulinunua. Kwa yeyote atakayempata mteja kuna asilimia 5%( zaidi ya mil. 10) ya bei hiyo iliyotajwa.
Contact 0768 401918...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.