health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Nina dada yangu amemaliza chuo kikuu cha ualimu masomo ya Kiswahili, Sociology, Civics kwa ngazi ya A-level anaweza kufundisha pia History kwa O - Level anaweza kufundisha na muda huu anatafuta shule ya kufundisha kama tempo kwa muda wa miezi 6 maeneo ya DAR ES SALAAM. Anayeweza kufahamu naomba anijulishe sababu ameshaanza kulia anataka cha kufanya. Natanguliza shukrani. Namba 0776491294