Mfanyakazi Katika Kampuni ya Huduma ya Fumigation anahitajika

Mfanyakazi Katika Kampuni ya Huduma ya Fumigation anahitajika

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Anahitajika mtaalamu aliyebobea katika kutoa huduma ya fumigation katika maeneo ya DAR.Awe na uzoefu wa kazi hiyo na matumizi sahihi ya mbinu za tahadhari na ubora wa kazi.Mwenye kuhitaji tafadhali pm a
 
Mimi ni Mtaalam wa Fumigation na nigependa tuwasiliane! Pia ni trainer
 
Kinongozi mi H.R wa kampuni moja hapa Dar na tunacho kitengo cha madawa ( tunashughurika na kununua mazao kuhifadhi na kuyapeleka nje ) wapo vijana tumewapunguza . wanautaalam wa kutosha kabisa , pia tunao wataalam wetu ambao kama utapenda unaweza watumia kwa muda kisha wakaendelea na shughuri zao, unaweza ni Pm kwa mawasiliano zaidi na namna ya kuwapata hao watu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom