Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

kazi mpya United Nations Economic Development Council (UNEDC) is dedicated to the task of promoting global financial development and advanced financial system and financial environment for...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
am a new member, i have been interested with your trends and the way you discuss your matters. i am so happy to be among you! thanks
0 Reactions
2 Replies
987 Views
..kuanzia ..pre production(writing script,screen play.. ..production.. ..post production..(editing,graphics... ..documentary..short film..TV program..etc... mengine tunaongea ...kama una video...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanahitajika consultants ktk kampuni la mikopo la Bayport Financial services kote nchini palipo na tawi lao,kipato cha sh 100,000 kwa kila fomu ya mkopo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hawa Plan international wanahusika na nn hasa na wako wapi?:sad::sad:
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama we ni lijana make money online though link sharing visit http://StartReferralJob.com/index.php?refcode=128899
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Now showing jobs 1 - 5 of 5 (0 jobs selected) | How to use this page. Language Job ID English Maintenance Officer 771 Dar Es Salaam Operations...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za asubuhi ni matumain mko wazima. Naomba ushauri katika hili. Kwa miaka mitatu tangu nimalize chuo nafanya kazi katika hospital ya mission moja hapa hapa nchini. Mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Habari wadau! Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapendwa kuna kazi zingine ni rahisi sana kupata hela japo ni kidogo lakini unaweza kupata mpaka dola 200 kwa mwezi check hii link StartReferralJob.com Earn 50$ daily by referring link to your friends
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mwenye taarifa juu ya matokeo ya usaili na nini kinafuata baadaye na ni lini atujuze tafadhali,,,manake nina hofu plus wasiwasi mpaka basi jamani! Nawakilisha :suspicious:
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu, NMB Central Zone walitoa nafasi za kazi na Deadline ilikuwa tarehe 18/06/2013 kwa mwenye update tafadhali
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari za kazi? wakuu nimetoka masomoni majuzi Namshukuru Mungu kwa kuwa nami mpaka namaliza. kwa sasa natafuta internship either kwa public or private sector in financial department jamani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Soma notes board.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimemaliza kidato cha nne mwaka jana ila sikuweza kuchaguliwa kuendelea, ninajua kuongea kingereza vizuri pia nina uwezo mkubwa katika hesabu na pia niko na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimeona tangazo la nafasi za kazi Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia ----------------. Nafasi za assistant lecturers na tutorial assistant. Mara ya mwisho mwaka jana nafasi...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wana JF,yeyote mwenye shida ya mfanyakazi wa duka au petrol station attendant tafathali anisaidie kazi,ni mwanamke mchapakazi,muaminifu mwenye kujiamini,wathamini wakihitajika nipo tayari...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jf, mwenye kuhitaji mtu aliyesomea Accounts , piga 0758233328.Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
FOREVER LIVING PRODUCTS INTERNATIONAL (FLP) ni kampuni kubwa ya Kimarekani, iliyoanzishwa mnamo mwaka 1978 yenye makao makuu mjini Scottsdale Arizona. Ni kampuni binafsi na mmiliki wa kampuni ni...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom