msaada wa temple/ kazi sabasaba na kwingineko

msaada wa temple/ kazi sabasaba na kwingineko

andika barua ambatanisha na cv pamoja na vyeti omba nafasi ya loan officer pale access bank peleka ofisini kijitonyama kama bahati yako watakuita coz umesoma marketing diploma
 
Temple = hekalu
Temp (from temporary) = muda mfupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom