E.f.c jamani.

E.f.c jamani.

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Msaada tafadhali nauliza office za E..F.C Kijitonyama ziko maeneo gani?mwenye taarifa zozote naomba anijuze,na pia kama kuna mtu anayefahamu viwango vyao vya mishahara kwa nafasi ya credit officer anijuze pia.
 
Zipo pale kwenye taa za Sayansi,kama unatokea Mwenge shukia kituo cha Sayansi then tembea mbele vuka mataa yale ya kuongozea gari mkono wako wa kushoto utaona jengo la ghorofa hapo hapo ndiyo ofisi za EFC pia hata kama unatokea Posta ama K'koo still kituo cha sayansi ndiyo cha karibu.Kuhusu mshahara ni maelewano so unaweza ukakuta pale watu wanalipwa laki tano lakini wewe kwa kuwa unajua kubagain ukapiga mpaka 1.5 so range ya mshahara ya sehemu isikutishe wewe nenda kama wewe
 
asante mkuu,nashukuru kwa ushirikiano
 
Mshahara ni 200,000......ila kuna bonus!
Wateja husumbuki kama Advans na Access bank!
karibu
 
Back
Top Bottom