Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Habari wanajamvi,
Hawa ICAP Tanzania wametanga nafasi za kazi kupitia mtandao wa ZoomTanzania, kila nikiregister na kutaka kuingia nifanye
hiyo application nashindwa.
Mwenye E-mail address ya hawa jamaa au mwenye link ya tangazo wadau.
Lyandembela 1 nawasilisha.