Zilitoka nafasi tangu mwezi MEI tarehe 9,na wakabandika kwenye web yao walioomba waendelee kuitembelea hiyo web kwani wangeweka shortlist soon,nashangaa mwezi wa pili huu unaisha hamna kitu kulikoni? Au watu washaitwa kazini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.