Nyumba inauzwa

Nyumba inaizwa mil.18 ipo ifakara morogoro.
tangazo lako halijitoshelezi,weka picha,ukubwa wa eneo lenye nyumba,na pia Ifakara kubwa ni sehemu gani pia,sio unakurupuka tu,umenawa hata uso lakini maana post ni ya saa 6:08.
 
Nyumba inaizwa mil.18 ipo ifakara morogoro.

ipo bethlehem,saga noti,air port,viwanja 60,kibaoni au wapi mkuu na umeme,maji,gari linafika imefanyiwa finishing ,itakuwa vizuri ukiweka na kapicha nisisahau kiwanja kimepimwa ,hati ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom