Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimemaliza kidato cha nne mwaka jana ila sikuweza kuchaguliwa kuendelea, ninajua kuongea kingereza vizuri pia nina uwezo mkubwa katika hesabu na pia niko na...
Hivi wana jamvi wenzangu ni halali kwa mtu aliekuwa mwajiri wako kuchukua na kukatalia kitambulisho chako cha uanachama wa NSSF kisa umeamua kuacha kazi?
I am posting this for those who are taking Advanced Maths programs or interested to learn A-level Maths but in one way or the other they don't have enough time to attend classes.
We can reach you...
Rural Medical Aid
Rural Medical officer
Medical Officer
Bw/Bi Afya
Au mwenye sifa zinazolingana hata akiwa mstaafu.
KAZI YAKE:-
Kusimamia masuala yote usalama katika site ya ujenzi
Kuelimisha...
Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma imesema wakati wowote katika wiki ya kwanza ya Julai, ratiba na majina ya waliokidhi vigezo kwa ajili ya usaili kwa matangazo ya kazi yaliyotolewa kwa...
Huyu mtu hatari sana, anatumia namba hizo hapo juu ,anajifanya anakufanyia mpango wa kazi then anakuomba hela kwa mpesa akusaidie, ukishampa ,humpati tena hewani.
mfano wa meseji zake...
:rain:Jana kwenye gazeti la mwananchi mkurugenzi wa PSPF alitoa tangazo la kujiami na matapeli wanaowaambia watu watoe hela ili wawe shortlisted binafsi alionya vikali na alilaani kitendo hicho.
Fanya ndoto zako kuwa kweli.. jipatie ramani ya nyumba kwa bei nafuu kabiza ikiwemo na ushauri wa ujenzi toka kwa wataalm wetu na kwa kutumia teknolojia ya kisasa
Mawasiliano
0714 155854
"Morning, Am Mr.X from XY Company Dsm, Am in a CV Review meeting for Accountant post na nimeona CV yako its gud, Nataka tufanye deal. Nakusaidia upate hii kazi by this week, ukipata ur first...
Tujikomboe Company operates in Mbagala Dar es salaam. This is a newly established Microfinance Institution. We are in the process of starting a Housing Microfinance loan product in some selected...
Dar es Salaam, Sekreterieti ya ajira imewaeleza wadau wanaotafuta ajira katika utumishi wa umma wanapoona matangazo yahusuyo ajira za serikalini kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya jamii...
Jamani wadau naomba msaada wenu kwa anayejua:
sekretariati ya utumishi wa umma waliendesha usaili mnamo mwishoni mwa mwezi May 2013 MPAKA trh 5 June 2013,
lakini nimeshangaa sana katika majina ya...
Wiki moja iliyopita wizara ya Afya na Ustawi wa jamii ilitoa orodha ya majina na vituo vya kazi kwa waajiriwa wapya wa kada ya Afya kwa mwaka 2012/13 wakiwemo madaktari(Medical Doctors) 260. Zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.