Mishahara ya tanapa ikoje wakuu

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
Habari zenu nduguzangu, nisaidieni wakuu hivi mshahara wa grade hii ya TNPSS D ni tsh ngapi... kabla ya makato... nisaidieni tafadhali
Mungu awabariki sana
 
dah mkuu nenda kapige hyo interviw yko ..ukifaulu watakupa barua ya offer /mkataba kwenye huo mkataba ndo utakuta hayo yote unayoyaulizia...
 
Kukaa siti ya mbele pembeni ya dereva, haimaanishi umeshajua kuendesha,KUITWA INTERVIEW, UNAANZA KUULIZA MSHAHARA?kajibu maswali kwanza
 
Back
Top Bottom