Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

habari zenu wadau naomba kwa anayeweza kusaidia kufahamu ukweli juu ya hili tukio, nadhani kuna wengine humu yameshawakuta 1. Kuna mdau mmoja amenistua kuwa kuna jamaa anasema anafanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari wakuu. Najua wapo wengi kama mimi hatujawahi udhuria ata oral interview moja, maana ndio tume graduate sio muda. Lakini kwakua humu ndani kuna watu washawahi udhuria nyingi tu (serikalini...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
tembelea hii link: http:www.theweeklypay.com/index.php?share=34561
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello, am Gabriel from VERMON LLC Dar, tunaingia kikaoni tupitie Cv za kuinterview for HR OFFICER, uliaply kupitia ZOOM.COM, nataka tufanye deal. Nitakusaidia upate hii kazi, salary ni 1.4...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana? Kama kuna mtu au shule inahitaji mwalimu wa part time wa Economics nipo hapa Dar es salaam. Uzoefu wangu ni miaka 12 ya kufundisha kwa mafanikio makubwa katika shule kubwa.
0 Reactions
1 Replies
828 Views
STEFF – METAL AND QUALITY LTD We are looking for a driven and passionate sales persons who has solid selling and negotiation skills in Motor vehicles Business An individual who is innovative...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau tangu deadline ya kuomba nafasi ya Internal investigation officer imalizike binafsi sijasikia kuitwa kwenye usahili. Vipi wenzangu, kuna walioitwa au fununu kuwa wataita lini. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
4K Views
SOMA ZAID HAPA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wtz tuwe makini na matapeli nimechek web yao hakuna ajira zilizowekwa,pia aliyepost humu jf ni tapeli!tuwe makini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wale walio apply nafasi za nmb mtwara vipi walishaitwa ktk usahili?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Candidates must have the below qualities:- - Formal presentation skills. - Excellent written and verbal communication skills in English & Kiswahili - Internet knowledge must. Attractive Salary...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bado hatujapata mtu sahihi kwa nafasi ya Insurer na Risk Management,tunawaomba sana wenye uwezo na uzoefu kiasi kwenye kazi hizi watume CV zao info@lenjentz.com au recruitment@lenjen tz.com...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Naomba kujuzwa kiwango cha mshahara kwa paramedics wa makampuni ya ulinzi kama Ultimate security, Knight support e.t.c Natanguliza Shukrani kwa yoyote mwenye information! ahsante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“Please describe yourself in a few words”. It’s the job interview of your life and you need to come up with something fast. Mental pictures of words are mixing in your head and your tongue tastes...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi wale wadau waliomba nafasi za kazi - The Tanzania Petroleum Development Corporation(TPDC), watu 261 wameitwa kufanyiwa usahili kuanzia 17/12/2012 hadi 21/12/2012, venue ni...
0 Reactions
64 Replies
17K Views
Ndg,wanajanvi ninaomba yeyote anayefahamu juu ya mstakabari wa wahitimu wa vyuo vya mifugo na kilimo maana ni bajeti 2 zimesomwa na @ bajeti ktk wizara ya mifugo imekua ikionesha kua serikali...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 nimemaliza form four mwaka jana. Naombeni kazi ya secretary Dar. Pia mimi nipo Dar. Nina cheti cha computer na ninajua kuongea kiingereza. Asanteni naamini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman nafasi walizotangaza nmb kanda ya kaskazin vp washaita?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom