Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

vipi waliofanya oral interview nafasi za admission na academic officer II tarehe mwezi 8 mmeshaitwa kazini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nna degree ya public administration,naomben mnijuze ni kampun ip naweza kujitolea mkoan iringa il nipate experience.b blcd
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hey guys..natafuta partner wa kufanya nae kipindi cha tv..awe capable financially!na sio hela ndogo..kuanzia 5m.!the show is great and will earn you big money..kama kuna mtu yupo interested..inbox...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwanza, hiyo link ya nini kaka?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF Mimi natafuta nafasi ya kazi tajwa hapo juu. Ninao uzoefu na ni graduate in Business Administration. Kwa yeyote naomba ani PM. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NINAHITAJI WAFUATAO: 1. SALES AGENTS 2 - WANAOJUA MARKETING NA WENYE UZOEFU WA KAZI USIOPUNGUA MWAKA MMOJA, ANGALAU WAWE NA DIPLOMA YA MASOKO 2. MMOJA MWENYE DIPLOMA AU CRTIFICATE YA ACCOUNTS...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Job Position: Photographer cum Graphic Designer I am in the process of establishing a medium scale photography studio at Makumbusho Dar es salaam. The studio will focus on "in-studio" and "out...
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nimepigiwa simu na watu wa TRA kuwa ninatakiwa kwenye interview ya Assistant Information Systems Administrator interview tarehe 04/11/2013 na venue ni University of Dar es salaam main...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari JF.Natafuta sana kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2 na ni graduate in Business Administration. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia. Nitashukuru. Ningependelea kama zipatikane za hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi JF members I think everyone knows the prevailing unemployment disaster in our country and its not bad to share whatever can help us. From that point of view a person with ten million...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Nipeni update wenye habari
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu wana jf, Najiskia furaha sana kuingia ktk kundi hil..naitwa Isack, ninachet cha Records Management tangu nime graduate mwaka 2011 na nimejitolea miezi 11 katika halmashaur flan bila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kwa wale waliofanya interview jumamosi ya 20/10/2013 pale duce kwa post ya internal Auditor ktk IT , Procurement, Accountant ,na post zingne ,naomba kujua kama watu wameitwa kwa awamu ya pili
0 Reactions
6 Replies
3K Views
tovuti ya polisi haipatikani,wanaiapdate,wanaingiza shortlisted.mkao wa kula tafadhari
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KIWANJA KIPO KONGOWE DAR ES SALAAM, UKIFIKA KONGOWE UNAINGIA NDANI MPAKA SEHEMU INAITWA KILUNGULE. KIUNAZWA 2.2M Tshs. Mwenye kuitaji apige simu 0753820584 au 0713135070. Karibuni.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Juzi nimepigiwa simu na tra ninatakiwa nihudhurie kwenye interview ya written jee kuna mtu wameshawahi kufanya interview za tra hususani za IT anipe muongoza wahiyo written interview ili nipate...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom