Wakuu kama kuna yeyote alietumiwa ujumbe kuitwa kwenye interview ya oral kwa post ya sales executive tupeane possible questions and possibly answers au kwa yeyote mwenye maujuzi anaweza kunijuza pia.
Habari zenu wana JF. Mimi naomba msaada wenu kama Kuna mtu anaweza nisaidia kupata kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2. Na pia ni graduate WA Business Administration. Kwa yeyote naomba ani...
Ninatoa huduma za wafanyakazi wa nyumbani na baa kwa mkataba maarum, unaoweza kulinda hata mali zako,
kwa mfanyakazi wa baa ninatoa mfanyakazi, uniform, na kulinda mali ikiwa uharibifu atakao...
Naomba msaada jamani nini tofauti ya hizi I and II.SIELEWI KIUKWELI NAOMBA KUELWESHWA ipi kubwa au Higher than the other kwa Rank ya kazi(job Position/ hierachy ???? Thanks
Habari ndugu zangu,
Kwa yeyote ambaye ana taarifa za uhakika kuhusu tarehe ya usaili wa upolisi kwa waliojaza fomu vyuoni tunamuomba atuhabarishe mana mpaka sasa hatujapata taarifa yoyote yenye...
CHIEF FINANCE OFFICER
Organization Name: Ifakara Health Institute (IHI)
Qualifications and experience
Business degree /MBA majoring in Finance /Commerce or Accounting with a professional...
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Mimi ni dereva, nina lesen daraja D, ninaishi kigamboni-Dar
nilikuwa nahitaji gari. Kwa wenye magari wanaokodisha, au kwa anayewajua wanaokodisha kwa shughuli ndogondogo ili kujiingizia kipato...
WanaJF jaribuni biashara ya sendos za kimasai za kike kutoka kenya mie imenisaidia sana sio sawa na kukaa bure.Ni biashara nzuri kwani wadada wengi wanazipenda hizi sendo kutokana na utofauti wake...
wadau, kuna jamaa kanitonya kuwa interview inakaribia, kwa yule anayejua hints za maswal yao atujuze hasa wale wadau wanaofanya kazi tra wanaweza wakatupa abc's
Wanafunzi waliohitiu kidato cha sita 2013 na kidato cha nne 2012 na wale waliofanyiwa usaili wakiwa kama jkt na kufaulu usaili wanatakiwa kufika katika ofisi za makaanda wa mikoa ili waende zao...
habari zen ndugu zangu! ni mdada wa miaka 26 sasa jamani tangia nihitimu chuo mwaka juzi july mpaka leo cjapata kazi wallah! nafanya application ziczo na kikomo yanni lkn wap! nimejitolea sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.