Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

:A S 2152:ATAKAYENIUNGANISHIA KAZI I GUARANTEE NTAMPA PERCENT FULANI KWENYE MSHAHARA WANGU... Check me karibublogdot@gmail.com:shocked::smile-big:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
13/01/2013 JUMLA ya vijana 91 katika Wilaya ya Temeke wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Saudi Arabia baada ya nchi hiyo kuwahitaji kwa haraka. Hayo yalisemwa na Mbunge wa Temeke...
0 Reactions
79 Replies
12K Views
SECRETARY MWENYE LEVEL YA DIPLOMA ANAYEFAHAMU VIZURI LUGHA YA KIINGEREZA, NA MWENYE UJUZI WA COMPUTER ANAHITAJIKA. WENYE SIFA WATUME MAOMBI YAO:- BULWARK ASSOCIATES ADVOCATES P.O BOX 32032 DAR ES...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Program officer, laboratory Serv Organization Name: THE ARIEL GLASER PEDIATRIC AIDS HEALTHCARE INITIATIVE (AGPAHI) Qualification: advance diploma or degree in medical laboratory technology...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajanv habar zenu mie ni graduate wa mwaka huu, ni mwanafunzi wa saut mwanza na nmesomea public relation and mkt,mimi mzuri sana katika mambo ya media na sector za masoko. kama kuna wadau wa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wanajamii, kuna fursa hii hapa tafadhali wenye sifa tuchangamkie....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mchana, Kwa mtu yeyote mwenye Diploma ya Insurance na mwenye experience ya miaka mitano anahitajika kuwa Principal Officer katika Brokerage Firm. Kwa maelezo zaidi ni-PM Location ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mafuriko ya Barua huko Masijala PCCB NI MAJANGA
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Hivi jamani naombeni kuuliza ivi izi nafasi za jkt kwa sisi tulio tayari kujitolea kwa taifa letu zinatoka lini maana tumesubiri sana tangia mwezi wa saba mpaka huu ni wa kumi plz kwa yeyote...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi? ninatafuta kazi ya research data collector nina uzoefu wa miaka mitatu, najua Quastionaire vizuri,najua kutumia umpc,tablets na Gps vizuri na nina cheti cha RTI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani vp wanajf kuna member humu aliitwa kwenye interview na hawa jamaa kwenye post ya SCIENCE EDITOR, maana nilifanya interview nao then wakaniambia by 22nd wtatoa feedback lakini bado kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Company: Access Bank Tanzania Position: Agro Loan Officers Trainees-10 Location: Lake Zone Deadline :Oct 22 2013 Description: Access Bank is a full Commercial Bank providing Micro...
3 Reactions
23 Replies
11K Views
TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUJIPATIA NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI:- BOFYA HAPA >>>>>>>>>>>>>>>>JOB OPPORTUNITIES<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.Ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.Hivyo basi kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chief Financial Officer at Advans Bank Tanzania Ltd Mission The Chief Financial Officer (CFO) is responsible for:- -All financial, accounting and administrative operations/transactions. -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
https://www.facebook.com/ChangiaDamuTz/posts/482296481884738
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara hapa Arusha na kati ya biashara zangu ni hiyo ya kuprint matangazo mbali mbali kama billboards, cover za matairi ya magari, brand madirisha ya vioo n.k. mtu aliyenishawishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom