nionesheni njia....mbele kiza jamani!!!

nionesheni njia....mbele kiza jamani!!!

sasa kwa hizo alama ulizo pata sekondari ya juu,kwa nini usiingie chuo kikuu upate shahada ya kwanza?
 
elimu ya shahada ninayo ila bado sina cheti,pia naiona elimu hiyo kama mzigo kwani kila unapoomba kazi hata ya kujitolea ili japo ni develop my career majibu si ya kuridhisha...nikijumlisha na stress za mtaa,na mahusiano ya ndugu zangu ndo nahisi kuchanganyikiwa...nimeamua kuweka pembeni shule nahitaji kuchapa kazi....

o ya
unge dadavua vizuri wasifu wako upande wa elimu.unaweza kupata msaada mkubwa hapa jf
 
poleni na shughuli wadau, jamani natafuta kazi yoyote ile ambayo naweza fanya japo niweze kujua mustakabali wa maisha yangu hapo badae,,napenda kujiajiri kama wasemavyo ila sina initial capital..nina cheti cha kidato cha sita arts hkl div.1.7 nimemaliza mwaka 2010 kwa yeyote anaeweza kunisaidia tafadhari anisaidie hata akinipeleka jeshi /polisi tu nitashukuru sana...''kwakweli kua uyaone'' r.i.p my dad!!! Joto la dunia naliona


e

Ungesoma Engineering labda ningefight upate japo kinafasi popote pale. Sasa hiyo HKL kwangu pagumu aisee.
 
kwa kukusaidia edit hii elezea cv yako vizuri utapata msaada mkuu
 
Ungesoma Engineering labda ningefight upate japo kinafasi popote pale. Sasa hiyo HKL kwangu pagumu aisee.

Mkuu SaaMbovu unazungumzia Tanzania ya mwaka.1996 wakati mkoa mzima una Ma-Engineer wawili.
Sasa hivi ajira kavu. Kwa waliosoma Arts ata Science A-Level. Kwa graduates wa Eng, Acc, Buss etc. Shavu kidogo kwa Walimu na MDs wanaobebwa na Wizara zao.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SaaMbovu unazungumzia Tanzania ya mwaka.1996 wakati mkoa mzima una Ma-Engineer wawili.
Sasa hivi ajira kavu. Kwa waliosoma Arts ata Science A-Level. Kwa graduates wa Eng, Acc, Buss etc. Shavu kidogo kwa Walimu na MDs wanaobebwa na Wizara zao.

Nikweli Secret Service ila kupost hivyo sio kwamba nimesema kuna nafasi nyingi ila kutokana na mie na deal na nini.
 
Last edited by a moderator:
Nikweli Secret Service ila kupost hivyo sio kwamba nimesema kuna nafasi nyingi ila kutokana na mie na deal na nini.

Nazidi kukuelewa sana mkuu SaaMbovu aisee. Kumbe ulitaka mpa msaada kwenye sector hiyo. Pamoja mkuu. Huo ndio moyo wa kusaidiana.
 
Last edited by a moderator:
Chamsingi ni kutatua tatizo lililopo na sio kushauri kitu ambacho sio msaada kwa wakati huu...kama unaweza kunisaidia basi mwaka ujao nijoin diploma ya ualimu sikatai ila kwa wakati huu mgumu unanisaidiaje?
Daaah Hii sasa too much! Yaani ushasonga mpaka Ba afu wafikiria kurudi nyuma kupata Ka diploma tena ka education! hapana we vumilia tu riski yako itafika utapata tu.
 
with tym utapata..vumilia...hata mimi nipo tu home lyf ngumu balaa kazi sizioni...na kozi nliyoisomea ya porini mpka serikali itoe sio leo..
 
Ni email kwa eliyudmsigwa@gmail.com niku unganishie kwenye kampuni moja ya DS-MAX-ENTREPRISES wasambazaji,watoa elimu na wauzaji wa bidhaa kutoka kiwanda cha IVAN
Hii niya ujasiliamali kutoka mkoani MBEYA
Mshahara ni juhudi zako yaani asilimia 20% kwa kila product
Kama unania kweli na kazi hiyo ni nzuri maana pia wanatoa mafunzo ya ujasiliamali bure kabisa
Hakuna uzoefu wala kigezo cha elimu
-----------------------------------------------------
Tafadhali kwa anaye hitaji nitumie mawasiliano kamili ili nikuunganishe direct mkuu
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Remember Field your Teacher
 
Back
Top Bottom