streetking
Member
- Oct 11, 2012
- 61
- 77
Habari zenu wadau!
Naomba kujuzwa kiwango cha mshahara kwa paramedics wa makampuni ya ulinzi kama Ultimate security, Knight support e.t.c
Natanguliza Shukrani kwa yoyote mwenye information! ahsante