Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Leo katk pita pita zang nilikutana na mjeda flani began alikuwa kma na vinyota viwili nkajaribu kumuulizia kuhusu post za jkt alichosema ni kwamba jkt wako katka hatua za mwisho za maandaliz ya...
Habari wakuu.
PCCB kama kitengo nyeti cha kupambana na rushwa, wanahitaji watu smart sana kuwaajili. (Tuondoe dhana kwamba kuna watu wanawekwa kwakua ni watoto wa vigogo au vinemo vitahusika...
Nina elimu ya advance certificate ya fish processing,marketing and quality assurance.
Pia computer course.
Pia nilisoma diploma ya custom and tax management ila sikuweza kumaliza kutokana na...
On behalf of the Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA), The National Examinations Council of Tanzania (NECTA), The Tanzania Forest Services (TFS) Agency, Cereals and Other Produce Board of...
Mamb vp wana jamii forum jaman tunachoomba mwenye info zozote atujulishe maana hawa jamaa website yao haipatikan na wala hakuna info zozote kuhusiana na hii mishe plz mpenda maendeleo yeyote...
Habari Ndugu Wana JF.
Mim ni kijana ambae nilihitimu kidato cha sita Mwaka 2010.
Ninaish Mwanza, Kutokana na Tatizo gumu la ukosefu wa ajira,na hali ya ugumu wa maisha iliyokithiri...
Hi,
If you spend most of your time at home, with nothing important to do, I might have found a better way to spend your time.
I am looking for a young person for on demand errand jobs. Your job...
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki...
Habari zenu wana jamvi...
Vp kwa mwenye kujua chochote kuhusu matokeo ya interview ya data entry clerk ilofanyika tar 10 october,naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu...
ndugu zangu wapenzi nimejaribu kuandika application nyingi na mpaka sasa naendelea kuandika bila mafanikio najua humu ndani kuna watu wenye hekima na busara na wanaopenda kusaidia wengine naomba...
Ndugu wana jukwaa. Napenda kufahamishwa endapo mtumishi wa umma amehama mkoa 1 na kwenda mkoa mwingine kufanya kazi ileile. Je, endapo siku za nyuma alikuwa na madai (mfano malimbikizo ya...
wadau habari zenu. napenda kuuliza mwenye kufahamu written interview za tpdc hasa kwa upande wa store officer zimekaa vp. pia nauliza km wanafanya pepa mchanganyiko km vile maths; english na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.