Hello, am Gabriel from VERMON LLC Dar, tunaingia kikaoni tupitie Cv za kuinterview for HR OFFICER, uliaply kupitia ZOOM.COM, nataka tufanye deal. Nitakusaidia upate hii kazi, salary ni 1.4 MILLIONI, ila ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 4. HR MANAGER nimeongea nae kakubali na atakupitisha directly but anataka laki 1 leo leo, mie nina elfu 70 tu hapa so tuma elfu 30 by tigo pesa to 0716110753 ili itimie tumpe hiyo laki, by saa 11 jioni uwe umeshatuma.me siwezi ongea now mpaka bdae nikitoka kikaoni nitakucheki tena, na ndipo utapigiwa lini uje kwa interview so jitahidi utume mapema. ushauri wa bure, kwa wanajukwaa tuwe makini sana na matapeli haya yasiyokuwa hata na mshipa wa aibu.