What are your salary expectations?

miku

Senior Member
Oct 24, 2011
148
225
Hili swali kwa wale wote wanakwenda kwenye interview linawasumbua sana,na asilimia kubwa watu wanalipwa mishahara midogo kwa kuboronga swali hili.nawasilisha hoja tujadili majibu mazuri ya swali hili unapokutana nalo kwny interview......
 

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,141
2,000
Hapa huwa tunauliza ku judge unajitathmini vipi na je uko over ambitious au "realistic".
Ni vizuri kabla ya kwenda interview ufanye uchunguzi wa hio kampuni au kampuni kama hizo zinalipa kiasi gani.
Ukitaja chini sana tunaweza fikiria hukui thamani ya input yako vizuri na ukitaja juu sana huwa unafikiriwa kuwa hata ukipewa kazi hauta kua satisfied na hivyo uta perform below standards.
Uzuri ijue scale halafu ongeza ka laki hivi juu au punguza.
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
ntakwambia That is a tough question. Can you tell me the range for this position.

Swali hili ni zuri sana ...ndo linakufanya muajiri ajue how much is your value...hakuna swali najidai kujibu wakati wa interview kama hili....huwa najibu hivii... a guru in hr ,with 8 yrs in hr management , well educated and exposed in various organizarion both local and international, well anchored in tz labour laws...i feel confidently i worth a gross of 5m plus per month...
 

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
2,000
Ikitokea umeshindwa kufanya ushushuu wa mshahara na hasa take home ya kitengo hicho itakuwaje?

Je ukiwajibu kuwa " how do you pay at this level "? Utakuwa umeboronga?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom