kwa kiasi kidogo tu nitaridhika nacho katika siku utakazonipa kazi

Ludger

Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
24
Points
0

Ludger

Member
Joined Dec 7, 2012
24 0
habari wanajamii
natarajia kuanza likizo kuanzia tar 16 December hadi tar 10 Januari. Nitakuwa Iringa kwa kipindi chote hicho, hivo nahitaji kufanya kazi yoyote inayoendana na fani za habari, Masoko na utafiti, utunzaji wa Nyaraka na computer. usijali kwa chochote ulichonacho nathamini kazi zaidi na si fedha.
tuwasiliane kwa 0715 545 485.
 

Forum statistics

Threads 1,392,168
Members 528,552
Posts 34,100,482
Top