!! Vigezo maalumu vya Kupata kazi katika kampuni za Kitanzania hata kama huna Expirience !!

Emma Lukosi

Emma Lukosi

Verified Member
929
195
Habari wana JF, Poleni wasaka Job

1. Hakikisha unachakachua kidogo jina lako lifanane na kiongozi flani serikalini eg: Lughembe = Maghembe

2.Hakikisha unajifanya mgeni hapa Tz, na unatokea ether South Africa, Nigeria au Kenya

3. Kama wewe ni mweupe kiasi vaa wigi then jifanye ni blak indian na uko experinced sema lugha ndio inakusumbua

4. Chakachua CV, na CV nzima hakikisha kuna Referees wa kichina.

believe you me try one of them... utakuja kurudisha feedback hapa JF.

:sad:
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
5,882
1,500
be practical mzee,sasa jna utabadilishaje
 
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
1,519
2,000
hakika ndo mana lako limeanza kama la nchimbi
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
49,453
2,000
Ugoro mnaokula unahamiaga kichwani
 
amaizing

amaizing

JF-Expert Member
3,568
2,000
Ukosefu wa ajira unachanganya akil za vijana wetu.
 

Forum statistics


Threads
1,424,525

Messages
35,065,993

Members
538,010
Top Bottom