Tambua

TAMBUA

Member
Aug 11, 2012
25
1
Natafuta mtumishi wa serikali wa kubadilishana naye kituo cha kazi,Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoa wa Mara-wilaya ya Serengeti,Anayetaka kubadilishana awe anatoka kati ya mikoa ifuatayo;Mbeya,Morogoro,Njombe na Iringa.MAWASILIANO 0766942129.
 
Back
Top Bottom