Kuna jamaa yangu kaitwa na hii kampuni kwnd kufanya interview lkn anadetail zozote,wanaJF naomba km kuna mtu yeyote alishafanya kazi na hii kampuni....nawakilisha!
braza wasikuzungushe sana hao jamaa ni recruitment agency wanatumiwa na makampuni kupata watu kutokana na uzoefu wao mkubwa na wako vizuri sio kama haya ya kibongo zuga hao wako vizuri, ukifika kwanza watakupa ka test kao ka kuandika ambako ni general maswali mchanganyiko sio specific kwenye hio kazi uliio omba then, ukikapass hako ndio unaingia kwenye oral wako straight forward hawana longolong.Kuna jamaa yangu kaitwa na hii kampuni kwnd kufanya interview lkn anadetail zozote,wanaJF naomba km kuna mtu yeyote alishafanya kazi na hii kampuni....nawakilisha!